Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.

Get Adobe Flash player

 
Kilimo Miaka 50 ya Uhuru
FPress Release
FRequest for Proposal for Mkulazi Large scale Commercial farming site for Sugar and Rice
FBudget Speech 2015/2016
Admission into Diploma And Certificates
Funding Opportunity
ERPP ESMF
FMAFC Annual Report 2012-13
FSAGCOT Documents
Kilimo Kwanza
The Web Kilimo web
In The News Room

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UGONJWA WA MNYAUKO FUSARI WA PAMBA NA MBEGU ZISIZOOTA: Serikali imewataka wachambuaji na wasambazaji wa mbegu za pamba kuacha kuwasambazia wakulima mbegu zilizozalishwa katika maeneo yaliyobainika kuwa na ugonjwa wa mnyauko fusari (Fusarium Wilt Disease). Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Huduma za Usimamizi, Bodi ya Pamba Tanzania, Bwana James Shimbe.  Soma habari zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO: Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima wadogo wa miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari cha Kilombero kilichopo Mkoani Morogoro yaliotokana na miwa yao kutonunuliwa na kiwanda.  Soma habari zaidi

Upatikanaji wa Vibali vya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Serikali leo imetoa ufafanuzi kuhusu upatikanaji wa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya nchi ambapo imesisitiza kuwa vibali hivyo vinapatikana bila gharama na hakuna urasimu wowote. Soma habari zaidi

Uzalishaji wa zao la korosho waongezeka: Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma amesema kuwa Tanzania imeweka rekodi mpya kwa kuzalisha karibu tani 200,000 za korosho katika msimu wa 2014/2015 ukilinganisha na tani 158,000 zilizozalishwa mwaka 2011. ...Soma habari zaidi

Changamoto za Pamba kupatiwa Ufumbuzi:: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana Zidikheri Mundeme amewataka wadau wa zao la pamba kuwalinda wakulima wadogo wa zao hilo kwa kuwapatia pembejeo za kilimo kama mbegu bora na viuatilifu kwa wakati ili kuboresha zao hilo.  Soma habari zaidi

Serikali yasambaza vocha milioni 2.9 kwa Wakulima Msemaji wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana Richard Kasuga amesema kiasi cha vocha 2,999,778 za pembejeo zenye thamani ya shilingi bilioni 78 zimesambazwa katika Mikoa 24 ya Tanzania Bara ili zitumike kufidia gharama ya mbolea na mbegu bora katika msimu wa kilimo wa mwaka 2015/2016.  .......Soma habari zaidi
Serikali imeombwa kuwasaidia wasindikaji wa koroshoWashiriki wa Mkutano wa tatu wa Kimataifa wa korosho waliiomba Serikali kutoa msaada kwa wasindikaji wa korosho katika kufikia malengo. Ombi hilo lilitolewa katika mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Serena Jijini, Dar es Salaam. ........Soma habari zaid
Wakulima Laki 5 Wapatiwa Mafunzo na Mradi wa EAAPP: Wakulima 599,290 kutoka Wilaya 48 hapa nchini, wamepatiwa mafunzo ya kilimo bora na mbinu za ujasiriamali katika kilimo kupitia Mradi wa EAAPP ulionza kutekelezwa mwaka 2010 hadi sasa....Soma habari zaidi
Photo Gallery

Importation of biological control agents in Tanzania  
   
Farm Machinery Catalogue Form  
Habari nyinginezo Tenders for 2015/16 click here
Programes, Projects and other web pages
         
Speeches| Publications | Agricultural Statistics | Legislation and Regulations | About us|Contact us
Copyright 2008, Ministry of Agriculture Food Security and Cooperatives All rights reserved.